Skip to main content

Posts

THE POWER OF MUSIC TO WIN THE BATTLE{Jehoshaphat won the Battle without fighting}.

In the previous post we observed the power of Sacred songs as applied in Bible times, today we are going to learn another powerful thing that #Sacred Songs can do: "Music(sacred songs) as a weapon used to win the battle)" Refer to '2CHRONICLES 20:1-29' But here We'll present only some verses(verse 16 upto 22), The Bible says; "And he said, Hearken ye, all Judah, and ye inhabitants of Jerusalem, and thou king Jehoshaphat, Thus saith the Lord unto you, Be not afraid nor dismayed by reason of this great multitude; for the battle is not yours, but God's. To morrow go ye down against them: behold, they come up by the cliff of Ziz; and ye shall find them at the end of the brook, before the wilderness of Jeruel. Ye shall not need to fight in this battle: set yourselves, stand ye still, and see the salvation of the Lord with you, O Judah and Jerusalem: fear not, nor be dismayed; to morrow go out against them: for the Lord will be with you. And Jehoshaphat bowed...
Recent posts

..........continuation #03. Bible in relation to Singing{sacred songs}.

Here is the continuation of the session #03-Bible in relation to Singing (sacred music). 2 Chronicles 5:12-14. All the Levites who were musicians—Asaph, Heman, Jeduthun and their sons and relatives—stood on the east side of the altar, dressed in fine linen and playing cymbals, harps and lyres. They were accompanied by 120 priests sounding trumpets. The trumpeters and musicians joined in unison to give praise and thanks to the Lord. Accompanied by trumpets, cymbals and other instruments, the singers raised their voices in praise to the Lord and sang: “He is good;     his love endures forever.” Then the temple of the Lord was filled with the cloud, and the priests could not perform their service because of the cloud, for the glory of the Lord filled the temple of God.

#03.Bible in relation to Singing(Sacred Songs).

Awali niliweka mtiririko kadhaa kuonesha Namna Biblia inavyoelezea suala la #Uimbaji na #Utunzi wa Nyimbo Tak. Leo nitaweka nyongeza ya mstari wa Biblia unaoelezea uwezo wa nyimbo/muziki mtakatifu kuleta uwepo na ufunuo wa Mungu mahali unapoimbwa,huu utakuwa Ni muendelezo wa tatu unaohusiana na ule wa kwanza na wa pili: Rejea kitabu Cha "Mambo ya Nyakati.5:12-14.{2 Chronicles.5:12-14}. Biblia imeandika; "tena Walawi waimbaji, wote pia, yaani, Asafu, na Hemani, na Yeduthuni, na wana wao, na ndugu zao, hali wamevaa kitani safi, wenye matoazi na vinanda na vinubi, wamesimama upande wa mashariki wa madhabahu, na pamoja nao makuhani Mia na ishirini wakipiga panda ;hata ikawa, wenye panda na waimbaji walipokuwa kama mmoja, wakasikizisha sauti moja ya kumsifu Mungu na Kumshukuru Bwana, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele; NDIPO NYUMBA YA BWANA IKAJAWA NA WINGU, NAAM, NYUMBA YA BWANA, hata makuhani hawakuweza kusimama ili kufanya huduma yao, kwa...

Biblia inasema nini kuhusu utunzi wa nyimbo takatifu?[#02]

Ndugu katika Kristo,Mwokozi wetu apewe sifa.... Leo tunaendelea na mtiririko wa pili(2) wa somo letu.Katika Mtiririko uliopita tulitoa utangulizi wa Neno kutoka kitabu cha "Kumbukumbu la Torati.31:19-22,30." Leo nitatolea ufafanuzi kuhusu mistrari hii; Jambo la umuhimu la kuona hapa ni kupitia mstari wa 19...Mungu anamwambia Musa "ANDIKA WIMBO HUU" ,katika Biblia ya kiingereza chepesi(Bible in Basic English) ,Neno lililotumika badala ya neno 'andika' ni neno 'tengeneza/kamilisha' ,Kutokana na hayo tuelewe yafuatayo; >Ni jambo la muhimu kwa watunzi/waimbaji kutotengeneza wimbo/nyimbo kwa utaratibu tunaoutaka sisi Bali kwenda kwa gwiji wa Muziki Mtakatifu{ndiye Mungu mwenyewe},ili atupe wimbo/nyimbo yeye mwenyewe[kwa kuwa Musa aliambiwa "ANDIKA" ,Hakujiamulia peke yake]. Fahamu ya kuwa Nyimbo inayotoka kwa Mungu kwenda kwa mtunzi inabeba nguvu(upako) unaoelezewa katika mstari wa 21 kuwa; (a)unakuwa SHAHIDI(ukishuhudia ndani y...

Tumsifu Yesu Kristo............

Awali ya yote nipende kuomba radhi kwa kutokuletea mtiririko wa pili unaohusu 'Biblia inasema nini kuhusu utunzi wa Nyimbo Takatifu??'Nilitingwa kidogo na shughuli lakini ninatumai nitakuletea mtiririko wa pili wa somo Hili juma hili Mungu akinipea nafasi!! Ewe Mtunzi,Kaa tayari.

Biblia Takatifu inasema nini kuhusu utunzi wa nyimbo Takatifu{Sacred songs}??!

Wapendwa katika Krisro Yesu ,Tumsifu Mwokozi wetu............... ~Kwa kitambo kirefu nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa ,likiwemo Hili ambalo nimeliweka kama kichwa cha muhtasari huu;'Biblia Takatifu inasema nini/inatufundisha vipi kuhusu utunzi[uandishi] wa nyimbo Takatifu?'. Hatimaye nimefanikiwa kupata mwangaza kidogo kulihusu jambo Hilo ,na majibu yake Ni ndani ya kitabu hikihiki tunachotembea nacho kila siku(Biblia Tak.). Nitatoa chambuzi hizi katika mfululizo wa masomo(vipindi)kadhaa na kwa kuanza na mtiririko wa kwanza nitakuonesha[ewe mtunzi wa nyimbo Tak.] mistari katika Biblia ,Kisha katika mtiririko wa pili nitaitolea ufafanuzi; Rejea 'Deutoronomy.31:19,21,22&30[Kumbukumbu la Torati.31:19,21,22&30] ,Biblia inasema;(nitatoa nukuu ya kiingereza na kiswahili pamoja): "And now write this song for yourselves and teach it to the Israelites;put it in their mouths, that this song may be a witness for me against the Israelites. And when many evil...

Tumsifu Yesu Kristo.........

Ni tumai langu kuwa nyote mu wazima ,Napenda kukukaribisha katika ukurasa huu, Ni wazo nililokuwa nalo toka kitambo ,kuanzisha ukurasa ambamo kupitia humo nitaweza kuweka mambo muhimu yanihusuyo kama vile nota za tunzi alizoniwezesha Mungu kuzitengeneza ,mashairi n.k ambayo yote kwa ujumla yanaweza kuwa ya msaada kwetu sote ili kulijenga kanisa la Mungu. Huu Ni mwanzo tu ,na taratibu ukurasa huu utakamilika hatua kwa hatua kadiri atakavyowezesha Roho Mtakatifu aliyeianzisha kazi hii. Asante! Anophrine Desdeus Shirima.