Skip to main content

MY MUSICAL COMPOSITION

Oh LORD, please bless this music that it might glorify your name. May the talent that you have bestowed upon me be used only to serve you. Let this music be a witness to your majesty and love, and remind us that you are always watching, and listening from your throne above. My your presence and beauty be found in every note, and may the words that are sung reach the hearts of your people so that they will draw closer to you. May your spirit guide us through every measure so that we might be instruments of your peace, and proclaim your glory with glad voices. AMEN

Neno Alifanyika mwili.
https://drive.google.com/open?id=1mGr0HGvE_xyW55ma2b4V5ffZeX_Wn5Bv

Neno Alifanyika mwili (mp3)
https://drive.google.com/open?id=1wvEX7MzaSP1MXScO1pds-xpoNNf6QnVX

Amefufuka mwokozi.
https://drive.google.com/open?id=1PVG5w0NybThWrIKAwVumg2rvQ3TnEDi2

Amefufuka mwokozi(mp3)
https://drive.google.com/open?id=1W0-izZQlGdPit94T3VcpIVLfYWXBqJ_p

Ninawawazia mawazo ya Amani.
https://drive.google.com/open?id=13vv0QoC4DpUjIAB-cryts6h61pPjU016

Bwana Amejaa Huruma na Neema.
http://www.swahilimusicnotes.com/song/bwana-amejaa-huruma-na-neema-anophrine-d-shirima/9835

Bwana Amejaa Huruma na Neema.(mp3)
https://drive.google.com/open?id=0B4R9Am_IdRlldmZ1MElRcFY3VmM

Njia zote za Bwana ni fadhili na haki.
https://drive.google.com/open?id=1bA-vhp0tArCpfdZdEDjS_ujlxsQANcUk?

Njoo Yesu Moyoni Mwangu.
http://www.swahilimusicnotes.com/song/njoo-yesu-moyoni-mwangu/9510

Njoo Yesu Moyoni Mwangu.(mp3)
https://drive.google.com/open?id=0B4R9Am_IdRllZ1RhZUNrWkNFYnM


Ee Mungu Uniokoe.
http://www.swahilimusicnotes.com/song/ee-mungu-uniokoe-anophrine-d-shirima/9846

Ee Mungu Uniokoe. (mp3)
https://drive.google.com/open?id=0B4R9Am_IdRllS0xPNmdiLUF2M3M

Kondoo wangu waisikia sauti yangu.
https://drive.google.com/open?id=0B4R9Am_IdRllV1YzbldDVTN5X2c

Kondoo wangu waisikia sauti yangu (mp3)
https://drive.google.com/open?id=0B4R9Am_IdRllM0dhZk1QSUhuZ1U

Mbio za Mwenge 2017-Wilaya ya Rombo.
https://drive.google.com/open?id=0B4R9Am_IdRllMVZOd1NoVGlMdjg

Mbio za Mwenge 2017-Wilaya ya Rombo. (mp3)
https://drive.google.com/open?id=0B4R9Am_IdRllU2xHTHdFdjNnU2s




Comments

Popular posts from this blog

Biblia inasema nini kuhusu utunzi wa nyimbo takatifu?[#02]

Ndugu katika Kristo,Mwokozi wetu apewe sifa.... Leo tunaendelea na mtiririko wa pili(2) wa somo letu.Katika Mtiririko uliopita tulitoa utangulizi wa Neno kutoka kitabu cha "Kumbukumbu la Torati.31:19-22,30." Leo nitatolea ufafanuzi kuhusu mistrari hii; Jambo la umuhimu la kuona hapa ni kupitia mstari wa 19...Mungu anamwambia Musa "ANDIKA WIMBO HUU" ,katika Biblia ya kiingereza chepesi(Bible in Basic English) ,Neno lililotumika badala ya neno 'andika' ni neno 'tengeneza/kamilisha' ,Kutokana na hayo tuelewe yafuatayo; >Ni jambo la muhimu kwa watunzi/waimbaji kutotengeneza wimbo/nyimbo kwa utaratibu tunaoutaka sisi Bali kwenda kwa gwiji wa Muziki Mtakatifu{ndiye Mungu mwenyewe},ili atupe wimbo/nyimbo yeye mwenyewe[kwa kuwa Musa aliambiwa "ANDIKA" ,Hakujiamulia peke yake]. Fahamu ya kuwa Nyimbo inayotoka kwa Mungu kwenda kwa mtunzi inabeba nguvu(upako) unaoelezewa katika mstari wa 21 kuwa; (a)unakuwa SHAHIDI(ukishuhudia ndani y...

Biblia Takatifu inasema nini kuhusu utunzi wa nyimbo Takatifu{Sacred songs}??!

Wapendwa katika Krisro Yesu ,Tumsifu Mwokozi wetu............... ~Kwa kitambo kirefu nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa ,likiwemo Hili ambalo nimeliweka kama kichwa cha muhtasari huu;'Biblia Takatifu inasema nini/inatufundisha vipi kuhusu utunzi[uandishi] wa nyimbo Takatifu?'. Hatimaye nimefanikiwa kupata mwangaza kidogo kulihusu jambo Hilo ,na majibu yake Ni ndani ya kitabu hikihiki tunachotembea nacho kila siku(Biblia Tak.). Nitatoa chambuzi hizi katika mfululizo wa masomo(vipindi)kadhaa na kwa kuanza na mtiririko wa kwanza nitakuonesha[ewe mtunzi wa nyimbo Tak.] mistari katika Biblia ,Kisha katika mtiririko wa pili nitaitolea ufafanuzi; Rejea 'Deutoronomy.31:19,21,22&30[Kumbukumbu la Torati.31:19,21,22&30] ,Biblia inasema;(nitatoa nukuu ya kiingereza na kiswahili pamoja): "And now write this song for yourselves and teach it to the Israelites;put it in their mouths, that this song may be a witness for me against the Israelites. And when many evil...

Tumsifu Yesu Kristo.........

Ni tumai langu kuwa nyote mu wazima ,Napenda kukukaribisha katika ukurasa huu, Ni wazo nililokuwa nalo toka kitambo ,kuanzisha ukurasa ambamo kupitia humo nitaweza kuweka mambo muhimu yanihusuyo kama vile nota za tunzi alizoniwezesha Mungu kuzitengeneza ,mashairi n.k ambayo yote kwa ujumla yanaweza kuwa ya msaada kwetu sote ili kulijenga kanisa la Mungu. Huu Ni mwanzo tu ,na taratibu ukurasa huu utakamilika hatua kwa hatua kadiri atakavyowezesha Roho Mtakatifu aliyeianzisha kazi hii. Asante! Anophrine Desdeus Shirima.