Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2016

Biblia inasema nini kuhusu utunzi wa nyimbo takatifu?[#02]

Ndugu katika Kristo,Mwokozi wetu apewe sifa.... Leo tunaendelea na mtiririko wa pili(2) wa somo letu.Katika Mtiririko uliopita tulitoa utangulizi wa Neno kutoka kitabu cha "Kumbukumbu la Torati.31:19-22,30." Leo nitatolea ufafanuzi kuhusu mistrari hii; Jambo la umuhimu la kuona hapa ni kupitia mstari wa 19...Mungu anamwambia Musa "ANDIKA WIMBO HUU" ,katika Biblia ya kiingereza chepesi(Bible in Basic English) ,Neno lililotumika badala ya neno 'andika' ni neno 'tengeneza/kamilisha' ,Kutokana na hayo tuelewe yafuatayo; >Ni jambo la muhimu kwa watunzi/waimbaji kutotengeneza wimbo/nyimbo kwa utaratibu tunaoutaka sisi Bali kwenda kwa gwiji wa Muziki Mtakatifu{ndiye Mungu mwenyewe},ili atupe wimbo/nyimbo yeye mwenyewe[kwa kuwa Musa aliambiwa "ANDIKA" ,Hakujiamulia peke yake]. Fahamu ya kuwa Nyimbo inayotoka kwa Mungu kwenda kwa mtunzi inabeba nguvu(upako) unaoelezewa katika mstari wa 21 kuwa; (a)unakuwa SHAHIDI(ukishuhudia ndani y...

Tumsifu Yesu Kristo............

Awali ya yote nipende kuomba radhi kwa kutokuletea mtiririko wa pili unaohusu 'Biblia inasema nini kuhusu utunzi wa Nyimbo Takatifu??'Nilitingwa kidogo na shughuli lakini ninatumai nitakuletea mtiririko wa pili wa somo Hili juma hili Mungu akinipea nafasi!! Ewe Mtunzi,Kaa tayari.